Skip to content

swahili

Tomislav Marijan Bilošnić: SALA YA MTAKATIFU FRANSISKO / swahili

Tomislav Marijan BilošnićSALA YA MTAKATIFU FRANSISKO Mungu atubariki, tuishi kwa amaniNdege zimerithi dunia hii,Na sisi tufanye urafiki na wanyama wote. Mungu atubariki, tuishi kwa amanina msalaba wenye mwili na nabawaKwa kifo yetu tuishe pamoja na viumbe viote vidogo. Mtakatifu Fransisko, ule wakati utaanzamatembezi yako ubavuni wa mlimawacha ndege waishi huko mlimaniwaweze kupukapuka kiwanjani.Hiyo ni radhi ya Mungu wetu:Malaika na ndege… Read More »Tomislav Marijan Bilošnić: SALA YA MTAKATIFU FRANSISKO / swahili